Kambi ya Wahamiaji ya Ufukwe wa El Trampolin huko Ceuta,Hispania yaibuka tena

Ingawa hapo awali wahamiaji huko Ceuta,Hispania walihamishwa na kupelekwa maeneo maalum, ufukwe wa El Trampolin umejaa tena vibanda vingi vya muda. Inakadiriwa kuwa, baada ya wimbi la wahamiaji kuingia mwishoni mwa Julai, bado kuna wahamiaji kati ya 5,000 na 10,000 (wakiwemo watoto wasioandamana na wazazi) waliobakia Ceuta, na wengi wao wamejenga makazi ya muda kwenye…

Read More

Watu 21 wafariki, 541 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya matope kuikumba forodha ya mpakani mkoani Xizang, China

Watu 21 wamethibitishwa kufariki na wengine 541 bado hawajulikani walipo hadi kufikia Jumatano mchana baada ya maporomoko ya matope kuikumba forodha ya Gyirong kwenye mpaka wa China na Nepal kusini magharibi mwa Mkoa wa Xizang Agosti 26. Habari zinasema waokoaji wamerejesha vipande 847 vya mali binafsi, mamlaka za mitaa zimepokea simu 876 kutoka kwa jamaa…

Read More

UM waonyesha wasiwasi kuhusu vurugu nchini Sudan

Umoja wa Mataifa umeonyesha wasiwasi kuhusu kuibuka kwa mapigano mapya nchini Sudan, ukisema mapigano hayo yanawaweka raia katika hatari kubwa na kuwafanya watu wengi zaidi kukimbia makazi yao. Mkoa wa Blue Nile umerekodi moja ya idadi kubwa ya watu wanaokimbia makazi yao, huku mamlaka za huko zikisema karibu watu 22,000 huenda wamekimbilia eneo la Gisan…

Read More

Handaki la kujikinga na mashambulizi ya anga huko Hangzhou yageuzwa kuwa “chumba chenye kiyoyozi cha asili”.

Watu wengi wanajiburudisha katika eneo la kupumzika lenye baridi huko Sipailou mjini Hangzhou mkoani Zhejiang,China. Eneo hilo limejengwa ndani ya handaki la kujikinga na mashambulizi ya anga, na ni kama “chumba chenye kiyoyozi cha asili” ambapo hali ya joto inadumishwa karibu nyuzijoto 25. Pia kumewekwa chumba cha kusoma vitabu,eneo la kucheza ping-pong, na viti 400…

Read More

Ethiopia yarejesha nyumbani karibu raia 100,000 kutoka nje ya nchi mwaka jana

Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa imewarejesha nyumbani karibu raia 100,000 waliokabiliwa na hali mbaya nje ya nchi katika miezi 12 iliyopita chini ya mpango unaoendelea unaoongozwa na serikali. Wizara ya Wanawake na Masuala ya Jamii ya Ethiopia imesema katika taarifa yake kuwa zaidi ya Waethiopia 98,900 walirudishwa nyumbani salama wakati wa duru ya hivi karibuni…

Read More

DRC yarekodi kesi zaidi ya 6,000 zilizothibitishwa za Ebola

Takwimu zilizotolewa jana zimeonesha kuwa, kesi zilizothibitishwa kuwa na maambukizi ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimezidi 6,000, huku karibu vifo 3,000 vikihusishwa na ugonjwa huo. Mamlaka za huko zimeripoti kuwa, mpaka kufikia jumamosi iliyopita, DRC ilirekodi kesi 6,041 zilizothibitishwa kuwa na maambukizi ya Ebola katika mikoa sita, ikiwemo vifo 2,911, na…

Read More

Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya 2026 yakamilika

Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma za China CIFTIS ya 2026 yatafanyika kuanzia tarehe 9 hadi 13 mwezi Septemba katika Hifadhi ya Shougang mjini Beijing yamekamilika. Kwa mara ya kwanza, maonyesho ya mwaka huu yataangazia eneo la maonyesho la “Huduma za China” katika eneo kuu la maonyesho, ikionyesha mafanikio bunifu na mifano…

Read More

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live